Pages

Thursday

cbe dodoma yazidi kumiminika wanafunzi


MH. WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI (COBESO) BI. PAULINE (KUSHOTO) AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAZIRI MAWASILIANO NA MAHUSIANO BW. REMIDIUS EMMANUEL
  
Erick jamii akiwa na Andew  nje ya geti kuu la kuingilia CBE pamoja na miss aliyekuwepo kwenye mashindano ya miss CBE.nyuma ya Erick aliyegeuzia  camera yetu mgongo anyejulikana kwa jina la sindy.
  


katikati anajulikana kwa jina la Mtili mwenyeji wa morogoro akiwa amekaa kwenye kibanda maarufu kwa jina la facebook (fb) akitafakari jambo.
 
 Peter malya akiwa nje ya lango kuu la CBE.

No comments:

Post a Comment