KATIBU WA MUFTI ZANZIBAR, SHEIKH FADHIL SORAGA AMWAGIWA TINDIKALI
Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumbacha Huduma ya Kwanza katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwaTindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katikaKiwanja cha Mwanakwerekwe.
Mungu atamsaidia
ReplyDelete