Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akifungua mashindano ya Redd's Miss Kinondoni Talent, pembeni yake ni Ssebo ambaye ni mmoja kati ya mwanabodi wa Redd's Miss Kinondoni 2012. Redd's Miss Kinondoni linatarajiwa kufanyika Ijumaa tarehe Septemba 14, 2012 katika Ukumbi wa Cassa Complex uliopo Mikocheni, Dar
Mshiriki namba 6, Irene akicheza
Mshiriki namba 2, Ester Musa akiimba
Mshiriki namba 4, Diana Hussein akionyesha jinsi ya kubuni vazi.
mshiriki namba 9 Brigitter Alfred akicheza nyimbo za kihindi
No comments:
Post a Comment