Mlipuko mkubwa umetokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na kusababisha moto na kuwajeruhi watu kadhaa.
Mlipuko huo umetokea majira ya saa 7.10 mchana kwa saa za Afrika mashariki katika eneo la kati la kibiashara karibu na chuo kikuu cha Mt.Kenya.
Mlipuko huo umetokea majira ya saa 7.10 mchana kwa saa za Afrika mashariki katika eneo la kati la kibiashara karibu na chuo kikuu cha Mt.Kenya.
Kenya imekuwa ikishambuliwa na mifululizo kadhaa ya mabomu tangu 
ilipopeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na kundi la 
al-Shabab
 
No comments:
Post a Comment