wanajeshi 400 wa sudan kusini wauwawa baada ya mapigano makali ya
kugombania
mji wenye unaosemekana kuwa na utajiri wa mafuta, mji wa
heglig Majeshi ya Sudan Kusini yamekamilisha uondokaji wao Heglig jumapili,
wakisema idadi ya askari waliouwawa ni ndogo na kile Sudan wanachodai.
Idadi ya waliojeruhiwa Sudan ni haiwezekani kuthibitisha
No comments:
Post a Comment