Pages

Friday

RAHISI TAYLOR MATATANI, MAHAKAMA INAUSHAIDI WA KUTOSHA JUU JAKE


Rahisi Taylor ameshtakiwa na mahakama maalum inayochunguza uhalifu wa 
kibinadamu nchini Sierra Leone.
Kesi dhidi ya kiongozi huyu imechukua takriban miaka mitano.
Taylor alituhumiwa kwa kuwaunga mkono waasi ambao waliwaua maelfu ya
 raia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone kati ya
 mwaka 1991-2002.
Hata hivyo mahakama haijampata na hatia ya kuamrisha kutekelezwa kwa
uhalifu wowote.
Jaji mwandamizi wa kesi ya Charles Taylor Richard Lussick amesema mahakama
inao ushahidi kwamba Taylor alifadhili kwa hali na mali maasi ya nchi jirani ya
Sierra Leone.

No comments:

Post a Comment