wanafunzi kutoka Sudan kusini wanao ishi nchini Uganda
wanautaka
umoja wa Afrika kumteua kiongozi mwingine kuwa mpatanishi wa
mapigano kati ya sudan na sudan kusini na kumwondoa mpatanishi wa
sasa Thambo Mbeki
Wanafunzi waliyaongea haya hii leo walipofanya maandamano mjini
Kampala kupinga kushambuliwa kwa Sudan Kusini na Sudan.
Sudan na Sudan ya kusini wapo katika mzozo kuhusu umiliki wa eneo
na Heglig au Panthou lililoko kwenye mpaka wa nchi hizi mbili.
No comments:
Post a Comment