Ashley Young, ambaye alifanikiwa kupata penalti wakati Manchester
United walipocheza na QPR, kwa mara nyingine alifanikiwa kupata penalti
baada ya kutegewa na Ciaran Clark.
Kuguswa huko kwa Young kulikuwa kudogo sana lakini Wayne Rooney
alifanikiwa kufunga mkwaju huo wa penalti kabla Danny Welbeck kuipatia
Manchester United bao la pili.
aisee tupo juu sana
ReplyDelete