Ushindi huo ni katika round ya kwanza ya mechi ya nusu fainali ya kombe la
mabingwa wa ulaya. mchezaji Franck Ribery alikuwa wa kwanza kuifungia
bao bayern munich alipofumua mkwaju mkali na kumuacha kipa Iker Casillas
akiwa hoi. Lakini dakika saba tu baada ya kipindi cha pili kuanza Mesut Ozil
akiwa hauta chache toka langoni aliipatia bao lake. Wengi walifikiri mechi
hiyo huenda ikaishia kwa sare ya 1-1 kabla ya Gomez kuchafua mambo
dakika za mwisho. Kabla ya kufunga bao hilo Gomez alipoteza nafasi nyingi za
kufunga. Hata hivyo mwamba wa Real Madrid Cristiano Ronaldo hakua na siku
njema kwani hakuna kubwa alilofanya akiwa uwanjani.
poleni sana real madrid
ReplyDelete