nyuba hiyo iliyopo mbezi beach dar es salam imenunuliwa kwa mkopo uliotoka crdb
bank.waziri annasema mkataba uliopo baina yake na crdb unamuitaji kulipa
dola 5,127 kila mwezi mpaka kumaliziika kwa deni lake.lakini taarifa iliotolewa
na website ya mwananchi nanukuu ikisema 'Hata hivyo, wakati Waziri Maige
akieleza kuwa nyumba hiyo ina thamani
hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira,
James Lembeli amedai kuwa taarifa alizonazo
ni kwamba ilinunuliwa kwa
fedha taslimu Dola 700,000 za Marekani(takriban Sh1.1 bilioni).Awali,
habari zilizolifikia gazeti hili zilieleza kuwa Waziri Maige alinunua
nyumba hiyo kutoka kwa Kampuni ya Savana Real Estate Akizungumza na
gazeti hili jana, Waziri Maige alisema hakununua nyumba
hiyo kwa Dola 700,000 kama inavyodaiwa, bali alinunua kwa Dola za
Marekani 410,000.
haya ni mawazo ya mtanzania mmoja kutoka website ya mwananchi
mikopo yote jumla
yake ni milion 290 nyumba unanunua ya zaidi ya milion 600. maana kuna
zaid ya milion 300 atazipata au amezipata kwa mbinu zake endapo kakopa
au la'. kwa mtumishi wa umma si utaiba ama kusitisha huduma kwa wananchi
wako''? Halafu mtu mkavu''......!!? hana aibu wala haiba. mwisho wa
dakika nahitimisha wizi mtupu''! afu kazi utafanya muda gani? huku
biashara kule mwananchi ama kazi za serikali utaziona huko vijijini?
No comments:
Post a Comment