SUZAN MEGEJIWA (Diploma in Accounts "B" 2011/2012 ) alifariki Dunia Tarehe 12/10/2012(ijumaa) kwa ajali ya Gari yeye na mdogo wake wakati wakitokea Dodoma kwenda Morogoro . Marehemu Suzan,alifariki dunia ikiwa ni Miezi kadhaa imepita tangu ahitimu elimu yake katika ngazi ya Diploma CBE kampasi ya Dodoma.
THE NEWS TZ BLOG) Inatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wote
R.I.P schoolmate nilisoma naye weruweru girl 2000/2004
ReplyDelete