Pages

Friday

usiku wa maisha club dodoma jana


       usiku wa maisha club jana Boss Ngasa akiwa na washkaji nje ya aisha Club Dom
 
 

                                                 The best Dj's in Maisha Club Dodoma
 
                                  mrembo toka cbe dodoma akitoa tabasamu kali 


                                            Dj zero ndani ya Maisha Club Dodoma.
 

                                                             Dj Abuu akifanya vitu
Mashabiki wa Maisha Club Dodoma leo tunawakumbusha kuwa baada ya kutoka viwanja vyetu vya jamuhuru leo tunatakiwa kukutane pale Maishani ndipo inapofanyikia After Part leo tukiwa na super star kibao wa bongo.

No comments:

Post a Comment