Pages

Monday

mzee wa kanisa afumaniwa

    
kutoka gazeti la sema usikike
watanzania tunaelekea wapi? na huu ni mfano gani gani kwa waumini ni aibu kubwa kuona 
kiongozi mkubwa katika kanisa kama huyu kufanya vitendo kama hivi vya haibu.Maswali mengi 
tunajiuliza sasa dini ni wito wa mungu au sehemu ya kuingizia kipato kwa bahadhi ya watu wanaojiita 
wachungaji na ma askofu?.siku za nyuma hapo nilikuwa na ndugu yangu mmoja akaniambia kuna dhambi nyingine ambazo anahisi aziwezi kufutika kwakuwa ni chafu sana. ndugu zangu  watumishi wa mungu ni watu ambao tunaamini ni watakatifu mbele za mungu na waumini tuombe mungu atupe uwezo wa kuona hayo.


No comments:

Post a Comment