John
Heche , Septemba 17, 2012 alifungua Kikao cha Kamati ya Utendaji ya
Bavicha kilichohudhuriwa na wajumbe kadhaa kutoka Mikoa yote ya Tanzania
Bara na Visiwani.Kikao hicho kilipanga kujadili ajenda mbalimbali za
Vijana na baadaye kufikia kutoa tamko la pampoja kuhusiana na masuala ya
kisiasa, kijamii na kiuchumi.Hata hivyo katika Kikao hicho , Bavicha
kupitia Mwenyekiti wake wa Taifa , walimkaribisha Mwandishi wa Habari na
Mtangazani wa zamani wa TBC, Jerry Muro ili aweze kuwasalimia wa
wajumbe wa Baraza hilo walioanza kukutana tangu Septamba 14 hadi 18,
mwaka huu.Katika salaamu zake , Muro alisema, yenye ni mwanaharakati na
mtu anayependa kusema ukweli, hivyo kwake mtu kama huyo ni lazima
amuunge mkono kama ilivyo kwa vijana wa Bavicha wanavyosimamia kusema
ukweli na kuamua kuwaunga mkono kwa hilo.
Mtangazaji wa zamani wa TBC, Jerry Muro ( kushoto) akito salamu zake kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji cha Bavicha Taifa
picha na mjengwa blog
Mtangazaji wa zamani wa TBC, Jerry Muro ( kushoto) akito salamu zake kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji cha Bavicha Taifa
picha na mjengwa blog
safi sana mabadilik ni muhimu
ReplyDeletechadema ndio mpango wa watanzania
ReplyDeleteoperation ndio mpango mzima big up bro
ReplyDelete