Pages

Monday

Jeshi laahidi kukabidhi madaraka kwa mshindi Misri.



 Mgombea wa Muslim Brotherhood Mohamed Morsi akizungumza na waandishi wa habari.

 Viongozi wa kijeshi wa Misri wameapa  kuheshimu ahadi yao ya kukabidhi madaraka kwa rais mpya  atakayechaguliwa ifikapo mwishoni mwa mwezi.
Tangazo la utawala huo wa kijeshi Jumatatu limekuja baada ya wao kutangaza katiba mpya ya muda, hatua ambayo inapunguza nguvu ya mshindi wa uchaguzi atakayepatikana ( bonyeza hapa kusoma habari kamili toka sauti ya amerika.....)

No comments:

Post a Comment