Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor amepanga kukata rufaa juu
ya hukumu iliyotolewa kwenye kesi yake kwa uhalifu wa kivita na uhalifu
dhidi ya ubinadamu.
Mahakama maalum kwa ajili ya Sierra Leone ilitoa taarifa fupi jumanne ikisema mawakili wa
utetezi......( bonyeza hapa kusoma habari kamiri kutoka, sauti ya amerika..... )
No comments:
Post a Comment