Pages

Saturday

Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa

 

Hatimaye tume maalumu kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi 
wa Tanzania juu ya katiba mpya imeapishwa jana na rais jakaya Kikwete. 
 Kuapishwa kwa wajumbe wa tume hiyo ilioteuliwa sasa kunafungua
 safari mpya kwa taifa letu kuelekea kwenye katiba mpya.

No comments:

Post a Comment