Pages

Friday

UN yataka mataifa ya sudan kuacha mapigano






U.N. Secretary-General Ban Ki-moon ayataka mataifa ya sudan na 
 sudan kusini kuacha mapigano na kutumia njia ya mazungumzo
 kufikia muafaka wa matatizo yao.Ban ki moon ameamuru sudan
 kusin kuacha mshambulizi maramoja katika maeneo yenye utajiri 
wa mafuta.secretary general alisema nchi zote mbili zinatakiwa kuacha
 mapigano maramoja.aliwaambia waandishi wa habari inchini marekani
atakaa kikao cha dharula kujadili mapigano yanayo endelea kati ya nchi 
hizo mbili.

1 comment: