Pages

Thursday

Dk. Magufuli (waziri wa ujenzi) augua ghafla, alazwa


















WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameugua  kulazwa katika Hospitali ya
Mkoa.Taarifa za Waziri huyo zilitangazwa jana
bungeni na Naibu Spika, Job Ndugai,
wakati akiahirisha kikao cha Bunge mchana.Ndugai alisema awali Magufuli
alipelekwa hospitalini hapo akisumbuliwa na shinikizo la damu. Baada ya kufika
 hospitalini alibainika kusumbuliwa na kichomi  … bado amelazwa   na Waziri
 Mkuu Mizengo Pinda alikwenda kumwangalia,

1 comment: