Pages

Friday

huyu ndie mwanafunzi wa cbe(dodoma) aliyefariki dunia


SUZAN   MEGEJIWA  (Diploma in Accounts "B" 2011/2012 ) alifariki Dunia  Tarehe 12/10/2012(ijumaa) kwa ajali ya Gari  yeye na mdogo wake  wakati wakitokea  Dodoma   kwenda Morogoro .       Marehemu Suzan,alifariki dunia ikiwa ni Miezi kadhaa imepita tangu ahitimu elimu yake katika ngazi ya Diploma CBE kampasi ya Dodoma. 
THE NEWS TZ BLOG) Inatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wote

1 comment:

  1. R.I.P schoolmate nilisoma naye weruweru girl 2000/2004

    ReplyDelete