Pages

Saturday

kikosi cha kili taifa stars kikotayari, kunaushindi leo?



















kama mnavyojua ndugu zangu leo "kitanuka " kwa lugha zetu za mtaani tunazotumia, uko ivory coast kati ya kili taifa stars na ivory coast. kocha wetu poulsen katangaza kikosi kama ifuatavyo;

                                     mfumo utakao tumika ni 4-4-2 

                                                      kipa;juma kaseja
mabeki; shomari kapombe,amir maftah, aggrey morris,  kevin yondani
viungo; shaban nditi,salum abubakari,frank domayo ,mwinyi kazimoto
                washambuliaji; mbwana samata na mrisho ngasa

        jamani mnaonaje, ndugu zetu vipi hapo? kunaushindi kweli? 
                  lakini tuombe mungu ama mnasemaje?


No comments:

Post a Comment