Pages

Monday

aunty lulu apigwa vibaya

 
  
 
wengi mnamfaamu aunty lulu muigizaji na mtangazaji maarufu hapa nchini. Inasemekana kuwa mwanamke 
huyu alipokea kichapo usiku w alhamis iliyopita kwenye ukumbi wa mango garden.Aunty lulu alipata 
kichapo kutoka kwa mdada shupavu anayekwenda kwa jina la Fatma,wawili hao walianza kupeana 
kong fu(kupigana)  baada ya kujikuta wakitamani kutoka na pedeshee mmoja maalufu sana  hapo mjini dar es salaam.
mshaidi wanasema  ilibidi wapeane kichapo ili kujua nani ataondoka nae ndio hapo Aunty lulu alipo zidiwa nguvu
na kupewa vitu vikali sana(makonde) kutoka kwa dada fatma.   picha kwa hisani ya global publishers

No comments:

Post a Comment