Pages

Friday

Rais kikwete akiwa katika ziara nchini kenya




Rais jakaya kikwete akiweka shada la maua kwenye kwenye Kaburi la Mwanzilishi wa Taifa la Kenya, Hayati Jomo Kenyatta    jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika Ziara Rasmi ya Kiserikali 
 
 Mama Salma Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Mwanzilishi wa Taifa la Kenya, Hayati Jomo Kenyatta    jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika Ziara Rasmi ya Kiserikal
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi katika jengo jipya la kutengeneza maziwa ya unga.  picha kwa hisani ya haki ngowi
 

No comments:

Post a Comment