picha kwa hisani mjengwablog |
gari la polisi lenye namba PT 1149 wakitokea Morogoro mjini, wakisafirisha mwili wa polisi Regu Kamamo kwenda mkoani Mara.
Sinzumwa amesema ajali hiyo
imetokea karibu na kambi ya Wachina, eneo la kijiji cha Manguanjuki, leo
saa 5.30 asubuhi, kwa gari kupinduka kutokana na sababu ambayo
haijajulikana.
Kamanda
wa polisi mkoa mkoa wa Singida, Linus Sinzumwa alisema kuwa gari hilo
lilipata ajali katika kambi ya Wachina iliyopo eneo la Manguajunki nje
kidogo ya mji wa Singida.Aliwataja walifariki katika ajali iliyohusisha
gari la polisi ni, staff sajenti Rose Mary Nyaruzoki (53), Nyamwenda
Juma, Rehema Juma.
Alisema majeruhi wanane wa ajali hiyo wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida, na hali zao zinaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment