Vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi kuhusu mripuko uliotokea 
katika kanisa la "God's House of Miricales International" Jumapili, 
lililosababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 16 kujeruhiwa.
Eric Kiraithe ambaye ni msemaji wa polisi amesema kwamba wanao
Eric Kiraithe ambaye ni msemaji wa polisi amesema kwamba wanao
uhakika katika muda wa saa 48 hadi 72 wataweza kumtambua aliyehusika
na shambulio hilo lililotokea katika kanisa hilo wakatti waumini walikua 
wanahudhuria misa ya Jumapili.
 
