Pages

Saturday

NEW: Rihanna and Chris Brown pamoja tena



Rihana alionekana wiki hii akimshika shika chris kichwani na sehemu zingine za mwili kimapenzi huku akiwa katika hali ya kujutia hivi,ndio maana
maswali mengi yakajitokeza ndio wameludiana au?kumbuka mastaa hawa waliachana baada ya chris kumdunda mwenzie bila huruma thenewstz itaendelea kukujulisha kuhusu hawa wawili wanaosumbua kwa mapenzi yao yakihindi
 


No comments:

Post a Comment