Pages

Tuesday

cbe dodoma,jana paliwaka moto


 cbe dodoma jana paliwaka moto wanafunzi wengi walifulika wakiwa katika mchakato wakufanya usajili
wanafunzi kutoka maeneo mbali mbali ya nchi yetu.Ni vizuri kuona muamko wa nchi yetu katika suala la elimu.vijana wa cbe dodoma kama mnavyo waona hapo wamependeza na wakiwa na uchu wakusoma.






mkurugenzi wa GG internet cafe & boss ngasa blogspot akiwa na wakongwe wenzie wa cbe dodoma wakijadili mwamko wa watanzania katika elimu

No comments:

Post a Comment