Pages

Saturday

KANUMBA AFARIKI DUNIA







































Msanii huyo wa filamu za kitanzania amefaliki usiku wa kuamkia leo apo nyumbani kwake
Habari zilizo thibitishwa na polisi zinasema sababu ya kifo bado haijajulikana .
Mwili wa marehemu  hupo katika chumba cha kuifadhia maiti muhimbili.
Habari ambazo azijathibitishwa zinasema kwamba kifo cha msanii huyo
Kimesababishwa na ugomvi mkubwa uliotokea kati kati ya kanumba na  msanii mwanzie
Anaeitwa lulu baada ya kanumba kumkuta lulu ambaye ni  mwanamke wake akiongea na simu
Na mwanaume mwingine .
‘Thewsaga’  itaendelea kukuletea habari …….

No comments:

Post a Comment